Wimbo Ulio Bora 4:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Vuma, ewe upepo wa kaskazi,njoo, ewe upepo wa kusi;vumeni juu ya bustani yangu,mlijaze anga kwa manukato yake.Mpenzi wangu na aje bustanini mwake,ale matunda yake bora kuliko yote.

Wimbo Ulio Bora 4

Wimbo Ulio Bora 4:8-16