Wimbo Ulio Bora 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu,hakika u mzuri!Macho yako ni kama ya huanyuma ya shela lako,nywele zako ni kama kundi la mbuziwashukao katika milima ya Gileadi.

Wimbo Ulio Bora 4

Wimbo Ulio Bora 4:1-9