Wimbo Ulio Bora 4:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Meno yako ni kama kondoo majike waliokatwa manyoyawanaoteremka baada ya kuogeshwa.Kila mmoja amezaa mapacha,na hakuna yeyote aliyefiwa.

Wimbo Ulio Bora 4

Wimbo Ulio Bora 4:1-9