Wimbo Ulio Bora 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Njoni basi enyi wanawake wa Siyoni,mkamwone mfalme Solomoni.Amevalia taji aliyovikwa na mama yake,siku alipofanya harusi yake,naam, siku ambayo moyo wake ulijaa furaha.

Wimbo Ulio Bora 3

Wimbo Ulio Bora 3:3-11