Wimbo Ulio Bora 3:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Nguzo zake zilitengenezwa kwa fedha;mgongo wake kwa dhahabu;mahali pa kukalia pamefunikwa vitambaa vya zambarau,walichoshona kwa upendo wanawake wa Yerusalemu,waliokishonea alama za upendo.

Wimbo Ulio Bora 3

Wimbo Ulio Bora 3:1-11