Ngao za mashujaa wake ni nyekundu,askari wake wamevaa mavazi mekundu sana.Magari yao ya farasi yanamulika kama miali ya moto,yamepangwa tayari kushambulia;farasi hawatulii kwa uchu wa kushambulia.