Magari ya farasi yanatimua mbio barabarani,yanakwenda huko na huko uwanjani.Yanamulika kama miali ya moto!Yanakwenda kasi kama umeme.