Mika 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Hivyo Mungu atawaacha watu wake kwa maadui,mpaka yule mama mjamzito atakapojifungua.Kisha ndugu zake waliobakia,watarudi na kuungana na Waisraeli wenzao.

Mika 5

Mika 5:2-12