Mika 5:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Huyo mtawala atawachunga watu wake kwa nguvu ya Mwenyezi-Mungu,kwa fahari yake Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.Watu wake wataishi kwa usalama,maana atakuwa mkuu mpaka miisho ya dunia.

Mika 5

Mika 5:1-6