Mika 5:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema,“Lakini wewe Bethlehemu katika Efratha,wewe ni mdogo tu kati ya jamii za Yuda,lakini kwako kutatoka mtawalaatakayetawala juu ya Israeli kwa niaba yangu.Asili yake ni ya zama za kale.”

Mika 5

Mika 5:1-8