Mika 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivikuhusu manabii wanaowapotosha watu wake;manabii ambao hutabiri amani wakipewa kitu,lakini huwatishia watu kwa vita wasipopewa kitu:

Mika 3

Mika 3:4-9