Mika 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati unakuja ambapo mtamlilia Mwenyezi-Mungu,lakini yeye hatawajibu.Atauficha uso wake wakati huo,kwa sababu mmetenda mambo maovu.

Mika 3

Mika 3:1-11