Maombolezo 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Manabii wako wamekuonea maono madanganyifu,hawakufichua wazi uovu wakoili wapate kukurekebisha,bali walikuonea kauli ya uongo na ya kupotosha.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:13-21