Maombolezo 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Nikuambie nini ee Yerusalemu?Nikulinganishe na nini?Nikufananishe na kitu ganiili niweze kukufariji,ee Siyoni uliye mzuri?Maafa yako ni mengi kama bahari.Ni nani awezaye kukuponya?

Maombolezo 2

Maombolezo 2:7-16