Maombolezo 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Wapita njia wote wanakudhihaki;wanakuzomea, ee Yerusalemu,wakitikisa vichwa vyao kwa dharau na kusema:“Je, huu ndio ule mji uliofikia upeo wa uzuri,mji uliokuwa furaha ya dunia nzima?”

Maombolezo 2

Maombolezo 2:10-22