Maombolezo 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Wanawalilia mama zao:“Wapi chakula, wapi kinywaji?”Huku wanazirai kama majeruhikatika barabara za mjini,na kukata roho mikononi mwa mama zao.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:11-15