Maombolezo 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Ukiwa sasa magofu matupu,Yerusalemu wakumbuka fahari yake.Ulipoangukia mikononi mwa maadui zake,hakuna aliyekuwako kuusaidia.Washindi wake walichekelea kuanguka kwake.

Maombolezo 1

Maombolezo 1:6-9