Maombolezo 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Fahari yote ya watu wa Siyoni imewatoweka;wakuu wake wamekuwa kama kulungu wasio na malisho.Bila nguvu waliwakimbia watesi wao.

Maombolezo 1

Maombolezo 1:1-12