Maombolezo 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Adui zake ndio wanaoutawala na wanafanikiwa,kwani Mwenyezi-Mungu ameutesakwa sababu ya makosa mengi.Watoto wake wametekwa na kupelekwa mbali.

Maombolezo 1

Maombolezo 1:1-13