Kumbukumbu La Sheria 9:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, jueni ya kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni nchi hii nzuri mwimiliki si kwa sababu mnastahili kuimiliki, maana nyinyi ni watu wakaidi.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:2-11