Kumbukumbu La Sheria 9:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mnaweza kuimiliki nchi yao si kwa sababu nyinyi ni watu wema au wenye mioyo safi; bali Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawafukuza watu hao mbele yenu kwa sababu ni waovu na anataka kuliweka imara lile neno alilowaapia babu zenu, Abrahamu, Isaka na Yakobo.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:4-6