Kumbukumbu La Sheria 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kumbukeni na msisahau jinsi mlivyomkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kule jangwani. Tangu siku ile mlipotoka nchi ya Misri mpaka siku mlipofika mahali hapa, nyinyi mmekuwa mkimwasi Mwenyezi-Mungu.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:2-8