Kumbukumbu La Sheria 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Hizi ndizo amri, masharti na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliniamuru niwafundishe, ili muyatekeleze katika nchi mnayokwenda kuimiliki.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:1-11