Kumbukumbu La Sheria 6:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati wote mlipo hai, mtapaswa kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuzitii kanuni zote na amri ninazowapeni nyinyi na wazawa wenu ili mpate kuishi maisha marefu.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:1-6