Kumbukumbu La Sheria 5:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtafuata njia yote Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyowaamuru kufuata ili mambo yenu yawaendee vyema na mpate kuishi muda mrefu katika nchi mtakayotwaa iwe mali yenu.

Kumbukumbu La Sheria 5

Kumbukumbu La Sheria 5:25-33