Kumbukumbu La Sheria 4:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Huko mtaitumikia miungu ya miti na mawe ambayo imetengenezwa kwa mikono ya watu; na ambayo haiwezi kuona, haisikii, haili wala kunusa.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:19-35