Kumbukumbu La Sheria 4:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha kutoka humohumo nchini mtamtafuta Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nanyi mtampata kama mkimtafuta kwa moyo wote na roho yote.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:27-33