Kumbukumbu La Sheria 4:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini nyinyi ndio watu aliowakomboa kutoka Misri katika tanuri la chuma. Aliwatoeni huko ili muwe watu wake kama vile mlivyo hivi leo.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:15-27