Kumbukumbu La Sheria 4:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa sababu yenu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alinikasirikia, akaapa kwamba mimi sitavuka mto Yordani kuingia katika nchi ile nzuri anayowapeni iwe mali yenu.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:12-26