Kumbukumbu La Sheria 4:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Jihadharini ili wakati mtakapoangalia na kutazama jua, mwezi na nyota na jeshi lote la mbinguni, msije mkashawishiwa kuviabudu na kuvitumikia, maana vitu hivyo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliviumba kwa ajili ya watu wote duniani.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:9-21