Kumbukumbu La Sheria 4:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo Mwenyezi-Mungu aliniamuru niwafundishe masharti na maagizo yote ambayo mnapaswa kuyatekeleza katika nchi mnayokwenda kuimiliki.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:10-22