Kumbukumbu La Sheria 4:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye akawatangazia agano lake akawaamuru mlishike yaani mzitii zile amri kumi ambazo aliziandika juu ya vibao viwili vya mawe.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:9-22