Kumbukumbu La Sheria 4:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Mwenyezi-Mungu aliongea nanyi kutoka katikati ya moto huo; mliyasikia maneno aliyosema lakini hamkumwona; mlisikia tu sauti yake.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:8-16