Kumbukumbu La Sheria 34:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Mose alikuwa na umri wa miaka 120 alipofariki; macho yake yalikuwa hayajafifia, na alikuwa timamu na mwenye nguvu.

Kumbukumbu La Sheria 34

Kumbukumbu La Sheria 34:2-12