Kumbukumbu La Sheria 34:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu akamzika katika bonde la Moabu, mkabala na mji wa Beth-peori; lakini mpaka leo, hakuna mtu ajuaye mahali alipozikwa.

Kumbukumbu La Sheria 34

Kumbukumbu La Sheria 34:1-9