Kumbukumbu La Sheria 34:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Waisraeli waliomboleza kifo chake kwa muda wa siku thelathini kwenye nchi tambarare ya Moabu. Kisha siku za matanga na maombolezo ya kifo chake zikaisha.

Kumbukumbu La Sheria 34

Kumbukumbu La Sheria 34:1-10