Kumbukumbu La Sheria 33:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Watawaalika wageni kwenye milima yao,na huko watu watatoa sadaka zinazotakiwa.Maana wao watapata utajiri wao kutoka baharinina hazina zao katika mchanga wa pwani.”

Kumbukumbu La Sheria 33

Kumbukumbu La Sheria 33:17-20