Kumbukumbu La Sheria 33:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Juu ya kabila la Gadi, alisema:“Atukuzwe Mungu ampatiaye Gadi sehemu kubwa.Gadi hunyemelea kama simbaakwanyue mkono na utosi wa kichwa.

Kumbukumbu La Sheria 33

Kumbukumbu La Sheria 33:16-26