Kumbukumbu La Sheria 3:18 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wakati ule niliwapa maagizo haya: ‘Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu amewapeni nchi hii mashariki ya mto Yordani iwe mali yenu. Sasa nyinyi mashujaa kati ya ndugu zenu, chukueni silaha mvuke mto Yordani mkiwa mbele ya ndugu zenu Waisraeli.

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:9-22