Kumbukumbu La Sheria 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Upande wa magharibi nchi yao ilienea hadi mto Yordani, toka ziwa Galilaya upande wa kaskazini, ukashuka hadi bahari ya Araba, yaani Bahari ya Chumvi, mpaka miteremko ya Pisga, upande wa mashariki.

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:12-27