Kumbukumbu La Sheria 3:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini wake zenu, watoto wenu na wanyama wenu, najua mnayo mifugo mingi, watabaki kwenye miji niliyowapeni.

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:18-23