Kumbukumbu La Sheria 29:26 Biblia Habari Njema (BHN)

wakaenda kuitumikia na kuiabudu miungu mingine, ambayo hawakuijua hapo awali, wala Mwenyezi-Mungu hakuwa amewapa.

Kumbukumbu La Sheria 29

Kumbukumbu La Sheria 29:20-27