Kumbukumbu La Sheria 29:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Na jibu litatolewa: ‘Ni kwa sababu walivunja agano la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wao ambalo alifanya nao alipowatoa katika nchi ya Misri,

Kumbukumbu La Sheria 29

Kumbukumbu La Sheria 29:19-29