Kumbukumbu La Sheria 29:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Haya ni maneno ya agano ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru Mose kufanya na Waisraeli katika nchi ya Moabu, licha ya agano Mwenyezi-Mungu alilofanya nao mlimani Horebu.

Kumbukumbu La Sheria 29

Kumbukumbu La Sheria 29:1-9