Kumbukumbu La Sheria 28:68 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atawarudisheni Misri kwa meli, safari ambayo aliahidi kwamba hamngeifanya tena. Huko mtajaribu kujiuza kwa maadui zenu kuwa watumwa, lakini hakuna mtu atakayewanunua.”

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:62-68