Kumbukumbu La Sheria 29:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mose aliwaita pamoja Waisraeli wote akawaambia, “Mliona nyinyi wenyewe jinsi Mwenyezi-Mungu alivyomtendea mfalme wa Misri, maofisa, watumishi wake na nchi yake yote.

Kumbukumbu La Sheria 29

Kumbukumbu La Sheria 29:1-11