Kumbukumbu La Sheria 28:67 Biblia Habari Njema (BHN)

Mioyo yenu itajaa woga wa kila mtakachoona. Asubuhi mtasema, ‘Laiti ingekuwa jioni,’ jioni itakapofika mtasema, ‘Laiti ingekuwa asubuhi.’

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:57-68