Kumbukumbu La Sheria 28:40 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtakuwa na mizeituni mahali pote nchini mwenu, lakini hamtakuwa na mafuta ya kujipaka; kwa sababu zeituni hizo zitapukutika.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:35-44