Kumbukumbu La Sheria 28:41 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtazaa watoto wa kiume na wa kike, lakini hawatakuwa wenu, watachukuliwa uhamishoni.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:35-49