Kumbukumbu La Sheria 24:7 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mtu yeyote akimwiba Mwisraeli mwenzake na kumfanya mtumwa wake au kumwuza utumwani, mtu huyo lazima auawe. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.

Kumbukumbu La Sheria 24

Kumbukumbu La Sheria 24:6-11